Sunday, 13 November 2011

PROF KABUDI; SOTE TUTAKUFA LAKINI TANZANIA ITABAKIA

Prof Palamagamba Kabudi wa Chuo Kikuu Dar es salaam amewataka wadau wote wa katiba Mpya kuweka maslahi ya Taifa mbele kipindi hiki cha mchakato wa Katiba Mpya. Prof. kabudi amesema "ikumbukwe kwamba sote tutakufa lakini Tanzania itabaki". Alikuwa akiendesha semina ya marekebisho ya katiba mpya mjini Dodoma jana.

Wajumbe wa semina wakimsikiliza Prof Kabudi

Waziri Mkuu na Mweneyekiti wa Semina Mhe. Mizengo Pinda akifungua semina ya mchakato wa marakebisho ya Katiba Mpya mjini Dodoma jana


Spika wa Bunge akifafanua jambo kwenye semina jana
                                 http://prince-minja.blogspot.com/

No comments: