| Baadhi ya wanafunzi wakifuatilia maelezo ya Waziri, Mulugo. |
| Mmoja wa walimu wa shule hiyo ambae ni raia wa Congo akiwaza maisha baada ya leo. Hili ni moja ya madarasa ya shule hiyo. |
| Jengo hili ambalo zamani lilikuwa kaunta ya Bar, sasa lilikuwa likitumiwa kama library ya shule hiyo. |
No comments:
Post a Comment