Mwenyekiti wa kamati Teule ya Bunge iliyoundwa kwa ajili ya kuchunguza uhalali wa utaratibu wa Wizara ya Nishati na Madini kuchangisha fedha kupitisha Bajeti na kubainisha endapo kitendo cha Katibu Mkuu Kiongozi kutoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya uchunguzi wa suala la fedha zilizokuwa zimechangishwa kimeingilia na kuathiri madaraka ya Bunge, Mhe. Ramo Matala Makani (Mb) akimkabidhi ripoti ya Uchunguzi huo Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda Ofisini kwake Bungeni Leo. Pembeni ni Makamu Mwenyekiti was Kamati hiyo Mhe. Martha Umbulla (Mb) akiwa amebeba viambatanisho vya ripoti hiyo.Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge |
No comments:
Post a Comment