Mkurugenzi Mtendaji wa NPS, Bwana Hassan Khan akizungumza na wafanyakazi wake leo asubuhi akiwashawishi waende kwenye vituo vyao vya kazi wakati menejimenti ikishuhulikia madai yao. Wafanyakazi hao wanadai kwamba wemekuwa wakipunjwa posho zao na wahasibu ambapo wengine wamekuwa wakiambulia 20,000/- kwa mwenzi. |
No comments:
Post a Comment