Monday, 14 November 2011

GODBLESS LEMA YUPO HURU

Mbunge wa Arusha Mjini, Godblesss Lema hatimaye amepewa dhamana leo na yupo huru kuendelea na shughuli za kujenga taifa na kuwaletea maendeleo wapigakura wake.

Taarifa kutoka huko zinadai kwamba Mara baada ya kupata dhamana hiyo, Lema amezungumza kwa jazba sana na amewatolea maneno makali viongozi wa serikali akiwatuhumu kwa madhila yaliyomfika. 

No comments: