Mjadala wa Muswada wa Katiba Mpya unaendelea Bungeni Dodoma (sasa hivi) lakini wabunge wote wa CHADEMA wameususia mjadala huo muda mfupi baada ya Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya chama hicho,Tundu Lissu kuwasilisha maoni ya kambi ya upinzani ambayo pamoja na mambo mengine yaliashiria kwamba mchakato ulitakiwa uanzie kwa wananchi.
UFAFANUZI WA SPIKA;
Spika Anne Makinda amesema sio lazima kwamba mchakato uanzie kwa wananchi na kwamba baada ya Bunge kuujadili mswada huo utarejeshwa kwa wananchi.
Amewataka wabunge kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa na kwamba wawe wavumilivu kwa wengine.
"Sio lazima kila unachokitaka wewe kiwe........" amesema Spika.

No comments:
Post a Comment