Katibu Mkuu wa Chadema, Dr Wilbroad Slaa (kulia) akizungumza na Mawaziri Wakuu Wastaafu, Jaji Joseph Warioba (katikati) na Dr Salim Ahmed Salim.
Viongozi hawa walikutana nje ya ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam ambako mjadala juu ya katiba mpya ulikua unafanyika.
Siku chache baadae, Kamati Kuu ya Chadema ikakutana na kupitisha azimio la kumuona JK Ikulu ambalo lilifanikiwa.
Kutokana na hali hiyo, wapo wanaoamini kwamba huenda wazo lilibuliwa hapa na haswa ikizingatiwa kwamba wakati huu viongozi hawa walipokutana huko Dodoma mjadala wa mswada wa Sheria ya Katiba Mpya 2011 ulikuwa unaendelea na wabunge wa Chadema waliususia.
|
No comments:
Post a Comment