Thursday, 17 November 2011

ABIRIA WA TRENI STESHENI DAR ES SALAAM WANAHITAJI MAENEO YA KUPUMZIKIA


Picha hizi zinaonyesha adha wanayoipata wasafiri wanaotumia usafiri wa treni nchini, tofauti na stendi nyingine kama pale Ubungo na Airport ambapo abiria wanamaeneo maalumu ya kupumzikia, hapa Stesheni-DAR ES SALAAM hakuna maeneo maalumu ya abiria kupumzika wakati wakiwasubiri ndugu zao.

Ni usafiri wa kuchosa sana haswa ikizingatiwa kwamba abiria wanatumia zaidi ya siku moja kusafiri kutoka Kigoma mpaka Dar ndani ya usafiri ambao pia ni washida kuliko mwingine wowote hapa nchini halafu wakifika mwisho wa safari wanakaa kwenye vumbi
kando ya barabara wakiwasubiri ndugu zao. Hii ni kama malaria HAIKUBALIKI.


No comments: