Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Zanzibar), Ismail Jussa |
"Programu ya viongozi wa Chama kuwafikia wananchi na wanachama wa CUF kwa Tanzania Bara na Zanzibar itaanza rasmi mwezi Desemba na kuendelea nchi nzima. Ajenda ni mwelekeo wa siasa za nchi na mjadala wa Katiba Mpya ambayo imekuwa ajeda ya CUF tokea kuasisiwa kwake, imekuwa katika ilani zake zote za uchaguzi na pia ilikuwa dai mojawapo kati ya madai matatu ya maandamano ya Januri 27, 2001".
No comments:
Post a Comment