Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kikagua ujenzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tekinolojia cha Nelson Mandela kilichopo Arusha wakati alipokitembelea Jana (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe la Msingi katika jengo jipya la Utawala la Shule ya Sekondari Mnolela, iliyopo kijiji cha Luhokwe, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Lindi jana. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR) |
No comments:
Post a Comment