GLOBU YA MAONI,HABARI NA UCHAMBUZI KUHUSU SIASA NA JAMII.
Friday, 8 April 2011
Bundi Alia Chadema Mbeya
Mwenyekiti wa CCM Rais, Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kadi ya CCM Bw Sambwee Mwalyego Shitambala aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha CCM baada ya kukihama rasmi CHADEMA katika makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo mchana.
No comments:
Post a Comment