Tuesday, 3 May 2011

Osama died a peaceful death

 

Usama bin Laden has died a peaceful death due to an untreated lung complication, the Pakistan Observer reported, citing a Taliban leader who allegedly attended the funeral of the Al Qaeda leader.

"The Coalition troops are engaged in a mad search operation but they would never be able to fulfill their cherished goal of getting Usama alive or dead," the source said.

Bin Laden, according to the source, was suffering from a serious lung complication and succumbed to the disease in mid-December, in the vicinity of the Tora Bora mountains.

The source claimed that bin Laden was laid to rest honorably in his last abode and his grave was made as per his Wahabi belief.
About 30 close associates of bin Laden in Al Qaeda, including his most trusted and personal bodyguards, his family members and some "Taliban friends," attended the funeral rites. A volley of bullets was also fired to pay final tribute to the "great leader."

The Taliban source who claims to have seen bin Laden's face before burial said "he looked pale ... but calm, relaxed and confident."

Asked whether bin Laden had any feelings of remorse before death, the source vehemently said "no." Instead, he said, bin Laden was proud that he succeeded in his mission of igniting awareness amongst Muslims about hegemonistic designs and conspiracies of "pagans" against Islam.

Bin Laden, he said, held the view that the sacrifice of a few hundred people in Afghanistan was nothing, as those who laid their lives in creating an atmosphere of resistance will be adequately rewarded by Almighty Allah.

When asked where bin Laden was buried, the source said, "I am sure that like other places in Tora Bora, that particular place too must have vanished."

Source;
 http://www.foxnews.com/story/0,2933,41576,00.html

Monday, 2 May 2011

JK: Kifo cha Osama bin Laden ni faraja


Rais Jakaya Kikwete amesema kifo cha Kiongozi wa Al-Qaeda, Osama Bin Laden ni faraja kwa ndugu na jamaa wa wale waliopeteza maisha yao kwenye mashambulizi ya mwaka 1998 kwenye Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam.

Alikua akijibu swali kutoka kwa waandishi wa habari mchana huu ambo walitaka kujua msimamo wake juu ya kifo hicho ambacho kimetawala taarifa za vyombo vyote vya habari duniani.

Hata hivyo alisema kwamba kama binadamu ni vigumu kufurahia kifo cha mtu mwingine, lakini akasisitiza kwamba 'kwa kua Osama alikua kiongozi wa kundi la kigaidi basi kifo chake ni faraja kwa ndugu na jamaa za wale waliopoteza maisha kwenye shambulizi la mwaka 1998'.

Kifo cha Osama bin Laden, Marekani imejipalia makaa.




Ni asubuhi ya Jumatatu, nimeamka najiandaa kwenda kazini baada ya likizo fupi ya wiki mbili ambayo niliitumia kidogo hapa Dar es Salaam na Kilimanjaro kijijini kwetu.

Naam kama ilivyo ada, nawasha TV nipate kujua yaliyojiri duniani kabla sijakumbana na mihangaiko na majukumu ya kiofisi.

Kwa kuwa kabla sijalala nilikua natizama BBC World, Tv  inawaka na channel ya kwanza kuiona ni BBC, Macho yanakutana na maneno makubwa kabisa Breaking News, napatwa na shauku ya kufahamu zaidi, nafikicha macho ili nione vizuri: Naama inasomeka hivi 'US Media: Osama bin Laden Found dead by US forces".

Ni habari kubwa, kubwa sana kwa kweli na inastahiki kua Breaking News kama ilivyo, mtangazaji anasema ni habari zinazosubiria kudhibitishwa na Rais wa Marekani, Barack Obama.

Bado nasubiri kua miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kupashwa habari, siendi kuoga mpaka nijue kinaga ubaga, punde si punde TV inaonesha chumba ndani ya Jumba Jeupe (white house) kuna nembo ya Ikulu kwenye sakafu na bendera mbili na mike mbili zinasubiri mkuu aje kupazia sauti.

"Osama amekufa" ni kauli ya kwanza kabisa niliyoisikia kutoka kwa Obama, ni kauli nzito, kauli iliyobadili fikra za wengi kwamba Osama asingekamatika, ni kauli aliyoisema kwa kujiamini sana kiasi cha wananchi wa Marekani kujaa nje ya Ikulu kwa mamia wakishangilia kile walichokiita ni ushindi baada ya miaka takriban kumi ya kumsaka Osama.

Suala la msingi hapa na muhimu kujiuliza kila mmoja wetu ni kwamba, hivi ni kweli Marekani kwa kumuua Osama inajiwekea mazingira yakuwa salama zaidi?

Wachunguzi wengi wa hali ya mambo tayari wameonyesha wasiwasi wao, wanasema Marekani na washirika wake wamejiweka papaya zaidi kwa kifo cha Osama kwa kuwa mtandao sio mtu, Osama alikua kiongozi tu, yani kama rimoti ambayo kuwepo au kutokuwepo kwake hakuzuii TV kufanya kazi.

Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, tayari wafuasi wa Osama wamesema kwamba ikiwa habari za kifo cha mkuu wao ni za kweli basi marekani na wamarekani wasubiri cha mtema kuni.

"Oh God, please make this news not true... God curse you Obama," said one message on an Arabic language forum. "Oh Americans... it is still legal for us to cut your necks."

"Osama may be killed but his message of Jihad will never die. Brothers and sisters, wait and see, his death will be a blessing in disguise," said a poster on another Islamist forum.
Maneno kama haya yanaashiria kwamba kama ni kidonda basi Marekani wamekitia chumvi na sasa kinavia damu. Huu huenda ukawa mwanzo wa ugaidi mwingine mkubwa sana duniani na kimsingi tutaumia wote wliokuwemo na wasiokuwemo.